Alberto Hurtado
From Wikipedia
Mtakatifu Alberto Hurtado Cruchaga (22 Januari, 1901 – 18 Agosti, 1952) alikuwa padre Mkatoliki katika Shirika ya Wajesuit kutoka nchi ya Chile. Alisoma sheria na kujitahidi kwa ajili ya mafukara nchini mwake. Sababu ya kifo chake ilikuwa kansa. Mwaka 2005 alitangazwa kuwa Mtakatifu.