Greenland
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Nunarput utoqqarsuanngoravit Nuna asiilasooq |
|||||
Mji mkuu | Nuuk (Godthåb) |
||||
Mji mkubwa nchini | Nuuk (Godthåb) | ||||
Lugha rasmi | Kikalaallisut, Kidenmark | ||||
Serikali | Demokrasia (serikali ya kibunge ndani ya ufalme wa kikatiba) Margrethe II wa Denmark Hans Enoksen 2002 |
||||
Eneo la kujitawala Kujitawala |
1979 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,166,086 km² (ya 13) 81.1a |
||||
Idadi ya watu - Desemba 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
57,100 (ya 213) 0.026/km² (ya 230) |
||||
Fedha | Krone ya Denmark (DKK ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC0 to -4) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gl | ||||
Kodi ya simu | +299 |
||||
a As of 2000: 410,449 km² (158,433 sq. miles) ice-free; 1,755,637 km² (677,676 sq. miles) ice-covered. b 2001 estimate. |
Greenland (Kikalaallisut: Kalaallit Nunaat (Nchi ya Wakalaallit (Wagreenland)") ni nchi ya kujitawala chini ya ufalme wa Denmark lakini haihesabiwi kuwa sehemu ya Denmark yenyewe. Jina la Kiswahili limetokana na Kiingereza "Greenland" ambayo ni tafsiri ya jina la Kidenmark "Grønland" linalomaanisha "nchi yenye rangi ya majani mabichi".
Kijiografia Greenland ni sehemu ya bamba la Amerika ya Kaskazini lakini kisiasa na kihistoria imekuwa na mawasiliano ya karibi na Ulaya ya Kaskazini.
Eneo la Greenland ni kubwa lakini idadi ya wakazi ni ndogo sana kwa sababu sehemu kubwa ya nchi (85%) imefunikwa na ganda nene la barafu. Jina la Greenland limepatikana miaka 1000 iliyopita kwa sababu wakati ule hali ya hewa duniani ilikuwa na joto zaidi na hapakuwa na barfu nyingi kama leo.
Mji mkuu ni Godthaab inayoitwa Nuuk na wakazi asilia.
[edit] Viungo vya Nje
Template:Amerika ya Kaskazini
Categories: Mbegu | Greenland | Denmark