Web Analytics

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Wikipedia:Jumuia - Wikipedia

Wikipedia:Jumuia

From Wikipedia

Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii.

Viungo vya jumuia:

Contents

[edit] Karibu!

Ukitaka msaada wa kusanifisha makala, angalia hapa.

Makala nzuri ionekane kama makala hizi: lugha, Eritrea

Ukifikiri kwamba hutaweza kuandika moja kwa moja makala ndefu na nzuri kama hiyo, uanzishe makala ndogo tu (kama hii: hesabu), na baadaye watu wengine (au wewe mwenyewe) wataweza kuikuza na kuiboresha.

Bado kuna makala kuu ambazo zimeunganishwa na ukarasa wa mwanzo, lakini hazijaandikwa. Ni muhimu tuziandike kwanza kurasa hizo:

Ujenzi, Teknolojia, Dini

Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa lugha ya kidini. Sisi tunataka kuandika kamusi elezo, na kwa hiyo ni lazima makala ziandikwe kwa lugha ya kisayansi, kwa sababu watu hawawezi kukubaliana kuhusu mambo ya dini. Kwa hiyo tubadilishe makala hizo zisiwe kwa lugha ya kidini:

Sheria

Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa rai ya watu wachache. Lakini kwa kamusi elezo ni lazima kwamba rai za watu wote zivumiliwe. Kwa hiyo ni lazima kubadilisha makala hii:

Dini, Uislamu, Hadithi za Mtume Muhammad

(makala hizi tatu zimeandikwa kwa rai ya waislamu tu, lakini hiyo siyo sawa. Angalia makala kwa Kiingereza (Religion na Islam) ili kujifunza makala kama hizo ziandikwe namna gani, ili kuvumilia maoni ya watu wote.)


Ili kuboresha tovuti hiyo, ni lazima tutafsiri sehemu zote ambazo bado ni kwa Kiingereza. Siku hizi, Marcos anafanya kazi hiyo. Ukitaka kumsaidia, au ukiona makosa katika tafsiri yake, umwarifu hapa.

[edit] Wasimamizi wanahitajika (Administrators needed)

Ili kuzuia wahuni na kulinda makala ... tembelea Wikipedia:Wakabidhi.

(To block vandals & protect pages ... see Wikipedia:Administrators.)

[edit] Makala fupi

Ninaazimia kufuta makala fupi — Special:Shortpages — kwa sababu nyingi ni duni kabisa (k.m. viungo vya Wikipedia zingine tu, au makala ya kamusi tu). Matt Crypto 10:49, 26 Julai 2005 (UTC)

I intend to delete some of the shorter pages, because many of them aren't of much use at all (for example, containing only interwiki links, or a brief dicdef etc). This makes the encyclopedia look very unpromising indeed. I suggest we cut the cruft, and keep only the articles that are either full articles or proper stubs. Matt Crypto 10:49, 26 Julai 2005 (UTC)

Agreed; nice work! On to the next barrier...' Sj 13:26, 6 Desemba 2005 (UTC)

[edit] Makala yanayostahili kufutwa

Tufanyeje kuhusu makala yanayostahili kufutwa? Wikipedia za lugha mbalimbali zina ukurasa wa kupendekeza kufutwa kwa makala. Halafu wanawiki wanaweza kuchangia rai zao.

Mimi ningependekeza kufuta makala Benzi karl fredrickkwa sababu mbili: A) mtu huyu alikuwa na jina kamili ndilo "Carl Friedrich Benz". Tusianze aina hii ya lugha tafadhali - baadaye tutapata "Bushi Georgi" au "Churichilli Winisitoni" au hata "Muwarimu Niyelele" kwa sababu mtu fulani anataka kuingiza lahaja ya nyumbani au tatizo lake la kutamka herufi fulani akidai kasoro yake ndicho Kiswahili chenyewe!! B)makala inajaa makosa - Benz haikuwa mtu wa kwanza aliyetengeneza injini ya petroli. Kwa sababu ya jina la makala ni la makosa haina faida kusahihisha makosa yaliyomo --Kipala 19:32, 26 Januari 2006 (UTC)

Ninakubali ni lazima kutumia jina kamili kwa makala. Wanawiki wote wana uwezo kusogeza makala (bonyeza "sogeza" juu ya makala). Pia, tunaweza kutumia majina mengi kwa makala moja (yaani "redirects": en:Wikipedia:Redirects). Sasa, makala hii inaitwa Carl Friedrich Benz (labda Karl Friedrich Benz ni bora kabisa?).
Kupendekeza makala kufutwa, haidhuru kuuliza hapa kwa sasa; pengine tuanze, kwa mfano, Wikipedia:Makala kwa ufutaji (kuliganan na en:Wikipedia:Articles for Deletion)? . Matt Crypto 21:36, 26 Januari 2006 (UTC)
Sawa, lakini kwa jina twende kwa Benz Karl Friedrich - nimeangalia upya kuna umbo zote mbili ingawa "Karl" ina ushuhuda bora kuliko "Carl" --Kipala 23:40, 26 Januari 2006 (UTC)

[edit] Sahihi Yesu Kanisa

inafaa kufutwa. Mwandishi anajaribu kuipeleka katika wikipedia za lugha nyingi. Nimeombwa kuitafsiri lakini sijapata majibu nilipouliza kuhusu mambo mbalimbali; siamini ya kwamba habari zake ni sahihi. Jinsi ilivyo makala ni ya Kiingereza pamoja na maneno kadhaa ya Kiswahili; halafu ameongeza kwa Kiswahili maneno ya Biblia yasiyoeleweka jinsi yalivyo. Sababu ya kuifuta ni pamoja na lugha ya kwamba mwandishi hajui mwenyewe jina la kanisa hili kwa Kiswahili; ameniandikia ya kwamba wako Tanzania, Kenya n.k. lakini hajui jina wanalotumia. "Sahihi Yesu" ni hisia tu. --Kipala 22:44, 18 Machi 2006 (UTC)

[edit] Zergeisterung

Neno »Zergeisterung« halina maana kabisa kwa Kijerumani. Makala ni mzaha. Neno hili limewahi kufutwa mara kadhaa katika wikipedia ya kijerumani kwa sababu hawakubali makala ya mzaha. Lifutwe na hapa. --Kipala 21:26, 5 May 2006 (UTC)

[edit] Sanduku la mchanga

Nimefanya "Sanduku la mchanga" nikasihia "Idadi" hapo.

[edit] Interface

There are still a number of interface strings that need translating... anyone up for it? Sj 13:27, 6 Desemba 2005 (UTC)

i can try Omoo 04:16, 18 Desemba 2005 (UTC)
I've tried to do a couple, taking the cue from Kilinux's glossary [1]. The strings "My watchlist", "Privacy policy" and "Cite this article" remain to be translated for the main browsing (as opposed to editing) interface. Matt Crypto 17:13, 22 Januari 2006 (UTC)


I can help out too Mudux01 12:19, may 2006 (UTC)

sanduku la mchanga ni kitu gani kwenye wiki? labda ninaweza kuchangia...fredwash

[edit] Interwiki Bot Status

Hi. I would like to get my interwiki bot YurikBot marked as a bot in your language. The bot is already operating in almost 50 languages, and it would lower the server load and improve the quality of articles if all interwikies are updated at the same time. You can read more or ask questions here. I always run the latest version of the Pywikipediabot (i am also one of the developers of this project). The request for the bot status is here. Please support. Thank you. --Yurik (en) 23:39, 5 Januari 2006 (UTC)

This would be great (I presume there'd be no objections from anyone else here); but there's no listing for sw on meta:Requests for bot status#en:User:YurikBot. Matt Crypto 17:26, 22 Januari 2006 (UTC)

[edit] Jimmy Wales wa Wikipedia

[2]. Matt Crypto 13:46, 25 Januari 2006 (UTC)

[edit] Tahajia ya Jina letu, "Village Pump" na Templeti "Swen"

(sw) Fikra tatu: 1) Tahajia ya Jina la toleo hili la Wikipedia kwa Kiswahili. Sasa ni "Wikipedia". Matoleo mengine yatumia tahajia ya lugha zao, k.m., Wikipedia ya Kifaransa ni "Wikipédia", ya Kiesperanto ni "Vikipedio" etc. Swali langu ni, "Wikipedia" ni tahajia bora kwa toleo la Kiswahili? Labda kitu kama "Wikipidia" au "Wikipiidia" ni bora? 2) Wikipedia zingine zina makala za kuzumgumza juu ya mambo ya mradi wote. Inaitwa "Village Pump" kwa Kiingereza. Sasa, tunatumia makala hii kwa madhumuni ile. Labda tuanze makala ya "Wikipedia:Pampu ya kijiji" (au "Wikipedia:Kisima cha kijiji"...)? 3) Nimetunga Templeti kwa kuandika katika Kiswahili na Kiingereza pamoja. Templeti hii inaitwa "swen". Ninaitumia kwa sababu ninaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha msingi tu, lakini ningependa kufahamika! (en) Three thoughts: 1) The spelling of the name of the Swahili Wikipedia. Currently it's "Wikipedia". Other editions use the spelling of their languages, e.g., the French Wikipedia is "Wikipédia", the Esperanto name is "Vikipedio" etc. My question is, is "Wikipedia" the best spelling for the Swahili edition? Maybe something like "Wikipidia" or "Wikipiidia" would be better? 2) Other Wikipedias have articles for discussing matters for the entire project. It's called the "Village Pump" in English. At the moment, we use this page for that purpose. Perhaps we should start a "Village Pump", or "Village Well" page? 3) I have created a template for writing Swahili and English together. This template is called "swen". I use it because I can participate with a only a basic level of Swahili, but I'd like to be understood! Matt Crypto 13:45, 2 Februari 2006 (UTC)

Sioni tatizo kuhusu "wikipedia" kwa sababu mbili: a)Kiswahili chenyewe ni lugha ya kupokea maneno mapya haraka (kutoka Kiarabu, Kiajemi, Kireno, Kijerumani, Kiingereza pamoja na lugha nyingi za Kibantu); b) maneno yatokayo nje hubadilishwa yasipolingana na tabia ya Kiswahili (k.m.: konsonanti nyingi zinazofuatana hutenganishwa kwa vokali; herufi au sauti zisipopatikana kwa Kiswahili hubadilishwa na herufi ambazo ni kawaida). Hata mifano iliyotajwa hapo juu ya Kifaransa na Kiesperanto inaenda sambamba na msingi huu.
Mimi naona neno "wikipedia" halina kitu kinachodai badiliko: hakuna ufuatano wa konsonanti nyingi wala herufi zisizopatikana katika Kiswahili wala maana ya kando yasiyofaa.
Nimelinganisha kurasa za wikipedia za lugha zingine za Kibantu: vilevile isipokuwa utaratibu wa lugha yenyewe inadai badiliko (taz. st: Wikipedia ya Sesotho; rw: Wikipedia mu Kinyarwanda; tofauti kufuatana na tabia zao: sn: Wikipediya Chishona; xh: iWikipedia Xhosa). --- Basi, ibaki!
Kuhusu Kisima cha Kijiji: si dhana ya Kiafrika sana; ukitaka kuiga mfano wa pampu: iwe baraza. Ndipo sehemu ya nyumba ya Waswahili wenyewe wanapopenda kukaa kivulini na kuzungumza. --Kipala 17:37, 2 Februari 2006 (UTC)

[edit] Template:Sanduku la habari za nchi

(sw) Mimi na User:Kipala tumetengeneza templeti ya nchi. Inawezekana kunakili templeti hii kutoka Wikipedia ya Kiingereza. Kwa mfano, angalia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni lazima kubadili "Infobox Country" kwa "Sanduku la habari za nchi", lakini majina ya uga (fields) zinabaki kwa Kiingereza. Data katika uga zinahitaji kutafsiriwa. Napendekeza turuhusu Kiingereza kwa majina ya uga kwa muda mchache, wakati Wikipedia hii ni ndogo, kurahisisha kunakili data. Pia, nimeficha uga kama GDP, HDP na PPP, lakini ni rahisi kuzifichua. (en) Kipala and I have ported the country infobox from the English Wikipedia. An example is on the Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo article. It's now possible to simply copy over an infobox from an English language article without much modification. The "Infobox Country" needs to be replaced with "Sanduku la habari za nchi", but the field names remain the same. The data in the fields needs to be translated of course. I suggest we allow the English field names to remain for the time being, while the Wikipedia is small, to facilitate the copying over of data. I've also commented out some fields, like GDP, HDP and PPP, for now, but we can put them in easily enough if it's wanted. Matt Crypto 16:48, 21 Aprili 2006 (UTC)

==Masahihisho la Sanduku la nchi==
Tunahitaji masahihisho. Country boxes za Kiingereza mara nyingi zina nafasi ya "leader Title1" na "title2" pia "name1" na "name2". Inaleta matatizo kidogo. Naomba mabingwa wasahihishe. --Kipala 18:37, 27 Juni 2006 (UTC)

ndio ni sawa kabisa katika swala zima la wikipedia mi naona halitoki nje ya maudhui kwa sababu limejitosheleza na katika hali zote (kuandika na kutamka) bado halipotezi misngi halisi wa neno lenyewe ila katika hii wikipedia:pump ningeshauri litumike neno kama Baraza au hata kijiwe kwani linaleta maan ya haraka na iliyo wazi katika watumiaji wa lugha ya kiswahili .....[[user:fredwash]1:41 pm, august 2006


[edit] Thijs!bot

I would like to ask the support of the community of the swahili wikipedia for getting a bot status to do automatic large-scale addition of interwiki-links. I use the pywikipedia-platform which Yurik mentioned above. The bot adds interwiki-links which are unambigious, which means it only works if all the interlinked wiki-articles have consistent linking among each other. This is an important point to prevent mistakes. Please mention support here, so iI can apply at meta for the botstatus soon. The bot currently works on af, als, ar, ast, az, be, bg, bs, ca, cs, da, de, el, en, eo, es, et, eu, fa, fi, fr, fur, gl, he, hr, hu, ia, id, ie, io, is, it, ka, ko, la, lb, li, lt, lv, mk, nap, nds, nds-nl, nn, no, oc, os, pl, pt, ro, ru, scn, sh, simple, sk, sl, sq, sr, sv, th, tr, vi, zh, zh-yue, an, br, co, cv, cy, ga, hi, ht, id, ie, ku, mr, ne, nrm, pap, sco, se, uk, ta, tl, te, tt, uz, wa, yi, and zh-min-nan. Thijs!bot 19:49, 8 Oktoba 2006 (UTC)

(sw) Hujambo! Nimeweka alama ya kikaragosi hapa. Ninakushukuru kwa kazi yako baina ya Wikipedia zetu (en) Hi, I've added bot flag here, many thanks for your interwiki work. Matt Crypto 13:35, 1 Februari 2007 (UTC)

[edit] Wikimania 2007 Team Bulletin

Published by the Wikimania 2007 Taipei Team, Wikimania 2007 Team Bulletin provides the latest news of the Team's organizing work to everyone who is interested in Wikimania; it also gives the Team chances to announce calls for help/participation, so assistance in human and other resources can be sought in a wider range. Team Bulletin is published at the official website of Wikimania 2007 and released to the public domain. Issue 1 and Issue 2 has already published.--218.166.212.246 02:15, 29 Oktoba 2006 (UTC)


[edit] Fujo (mpira wa miguu)

Naomba wasimamzizi waangalie makala ya mpira wa miguu. Imeshaharibiwa mara 5,6 au hivi. Nadhani ni yeye yule mwenye fujo akiingia bila jina na kutumia mashine mbalimbali kwenye mkahawa wa intaneti. Naomba makala hii ibadilishwe ili washiriki pekee waliojiandikisha wanaweza kuhariri. Hadi sasa hatujapata fujo nyingi. Ikiongezeka naona heri tuweke sw:wiki yote kwa hali ya kujiandikisha kwanza. --Kipala 18:17, 8 Januari 2007 (UTC)

Nimehifadhi makala hii, ona pia makala mpya: Wikipedia:Makala zinazohifadhiwa. Matt Crypto 13:36, 1 Februari 2007 (UTC)

[edit] Looking for help

Hi, unfortunately I don't speak any Kiswahili (sorry!), so I hope someone could respond in English...

First of all, is this the "real" help page? (It's not linked to the respective German page, so I'm a bit confused...) If it's not the right page: Sorry, and could you tell me where else I should ask my question? Thanks!

The reason I'm writing, however, is that I'm looking for information about a river in Tanga. Someone wrote an entry in the German Wikipedia on "Sigifluss" (English translation would be Sigi River), which is supposedly a river in the Tanga province in Tanzania, which had that name until 1918. Now we're trying to find out which river it is and what it is called today. There seems to be a "Sigi River" and even an "mto Sigi"/"Mto Sigi" on the internet, but unfortunately I haven't yet found out if this is 1.) the same river, and b.) the official name of it.

So I'd be grateful for any and every information about the river or anything else that you could tell me about it, or if you could even tell me where to find more information about it (books? internet?). (Maybe you could even mark it on Tanga on wikimapia.org? If you want to do that, just click onto "Add place" in the upper left corner...) I'd be happy to include whatever information I find into the German article--so this is your chance to contribute to the German Wikipedia ;o) ! Thanks a lot (!) in advance, --Ibn Battuta 02:36, 12 Februari 2007 (UTC)

Dear Ibn Battuta, as your chosen name is so closely related to our beautiful Kilwa Kisiwani of course you are most welcome. As for Sigi (Zigi)-River: I just passed by once (maybe User:Rerehambegha has more - he lives in that area.) For a small river you have milked most information from the sources. About the name you have it on the linked reference by Krebs that it is called mostly "Zigi" nowadays, as with many names which were written with "s" by the Germans because German does not write the difference between sharp "s" and soft "z". It is interesting that quite a few times the spelling "sigi" is also found which looks like some memory of the German orthography (or just Tanzanian liberality as far as spelling is concerned?).
From the German Koloniallexikon you see quite clearly that "Sigi" it is the river ending in the Creek that finally forms Tanga Bay. If you look in the internet using "Zigi river" you get a lot more descriptions from different projects about its basin. --Kipala 16:58, 13 Februari 2007 (UTC)
Thanks a lot, Kipala! Yes, another user had found yet more information about the river after I had already posted my question(s) here. As for the Koloniallexikon - is that somewhere online? Otherwise I'm afraid I don't have access to it. And which one is the Sigi/Zigi River on this map: the one right next to Tanga or the one slightly further to the North? Thanks a lot, also for the link to Kilwa Kisiwani, which I didn't know about before (it sounds truly amazing!). --Ibn Battuta 17:41, 17 Februari 2007 (UTC)

[edit] Soko / Masoko

Hi, I created Category:Soko la hisa. Does it need to be changed to Category:Masoko la hisa? And would Category:Benki be actually Category:Mabenki? I am not sure. --Mr Accountable 03:56, 18 Februari 2007 (UTC)

[edit] Makala "requested"

In English: Sisal, coffee, tea, rubber, ground nut/peanut, banana, pineapple, birdseye pepper, cotton, palm oil. In Kiswahili: kilima or ukilima. --Mr Accountable 03:43, 19 Februari 2007 (UTC)

Angalia makala za mawese na nguta. Neno la "agriculture" ni "kilimo" (kilima ni "small mountain, hill". Otherwise you are right, we should get these main crops in soon. --Kipala 20:57, 27 Februari 2007 (UTC)

[edit] Tufunge uhariri kwa wale waliojiandikisha?

Napendekeza kufungs uharitri wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha. Uhalifu wote hadi sasa ilikuwa ya watu bila jina. Leo nilirudisha "Msaada wa kuanzisha makala" baada ya uhalifu. Hatujakuwa na matatizo mengi bado lakini ilhali tuko wachache inasumbua hata hivyo. Wasimamizi wenzangu: Je kuna kizuizi chochote tukiruhusu uhariri wote kwa waliojiandikisha tu? --Kipala 20:57, 27 Februari 2007 (UTC)

(Sorry for the English, but I've only got 5 minutes, and it takes me ages to write even half comprehensible Swahili...) You're suggesting we limit editing only to those who have registered. This has been proposed and debated many times elsewhere, but for better or worse -- and to cut a long story short -- Wikimedia Foundation has settled it: see [3]. That is, we have to allow anonymous edits. The advantage is that the barrier to contributing is as low as possible; the cost is that we have to deal with more vandalism. But in truth, there's not really all that much vandalism on sw currently, at least by the standards of en (and I imagine the other larger language editions too). An admin spending a minute each day is more than enough to keep on top of it. Matt Crypto 23:06, 27 Februari 2007 (UTC)
Asante kwa maelezo. Maana yake sisi tunaweza kufunga makala moja-moja? Kuna utaratibu kwa hatua hii? --Kipala 07:38, 28 Februari 2007 (UTC)
Kipala, ninavyoona wewe kama mkabidhi una uwezo ama kulinda makala fulani (bonyeza kitufe kinachosema "linda"; iko katikati ya vitufe vya "historia" na "futa" kando ya juu) ama kumzuia mhalifu asiyejiandikisha (bonyeza kiungo kinachosema "block" baada ya anwani ya ICP ya mhalifu inavyoonekana katika orodha ya "Mabadilisho ya karibuni"). Kila la heri, --Oliver Stegen 16:24, 28 Februari 2007 (UTC)
Lugha nyingine

Static Wikipedia (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2007 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2006 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu

Static Wikipedia February 2008 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu