User:Oliver Stegen
From Wikipedia
Lugha | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Naitwa Oliver Stegen, nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Tanzania tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Kwa hiyo nitajitahidi kusaidia ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.