Alexis Carrel
From Wikipedia
Alexis Carrel (28 Juni, 1873 – 5 Novemba, 1944) alikuwa daktari mpasuaji kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mkusanyiko wa vyembe mwilini (tishu) na mbinu za kuuhamisha. Mwaka wa 1912 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.