Anselm wa Canterbury
From Wikipedia
Anselm wa Canterbury (takriban 1033 au 1034 – 21 Aprili, 1109) alikuwa askofu mkuu katika mji wa Canterbury. Mwaka wa 1163 alitangazwa kuwa mtakatifu. Mwaka wa 1720 alitangazwa kuwa Mwalimu wa Kanisa. Sikukuu yake ni 21 Aprili.