Bernardo Houssay
From Wikipedia
Bernardo Alberto Houssay (10 Aprili, 1887 – 21 Septemba, 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza uhusiano kati ya homoni na sukari katika kiumbehai cha wanyama. Mwaka wa 1947, pamoja na Carl na Gerty Cori alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.