Budapest
From Wikipedia
Budapest ni mji mkuu wa Hungaria pia mji wake mkubwa mwenye wakazi milioni 1.7. Mji uko pande zote mbili za mto Danubi. Mji wa leo ulianzishwa 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.
[edit] Jiografia
Bupapest iko mahali ambako mto Danubi umetoka katika milima ya Hungaria ya Kati na kuingia katika tambarare. Mahali pa juu mjini ni mlima wa Janos mwenye kimo cha m 527.
[edit] Utamaduni
Makala hiyo kuhusu "Budapest" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Budapest kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |