Cuthbert Mayne
From Wikipedia
Cuthbert Mayne (1544 – 30 Novemba, 1577) alikuwa mchungaji ndani ya Kanisa la Anglikana la Uingereza kabla hajabadilisha kuwa padre Mkatoliki. Hii ilimsababisha kuuawa chini ya sheria ya Malkia Elizabeth II. Mwaka wa 1970 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 25 Oktoba.