Eugene Wigner
From Wikipedia
Eugene Paul Wigner (17 Novemba, 1902 – 1 Januari, 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchi wa Hungaria na jina Jenó Pál Wigner. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1963, pamoja na Johannes Hans Daniel Jensen na Maria Goeppert-Mayer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.