Igor Tamm
From Wikipedia
Igor Yevgenyevich Tamm (8 Julai, 1895 – 12 Aprili, 1971) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza uhusiano kati ya elektroni na nuru. Mwaka wa 1958, pamoja na Pavel Cherenkov na Ilya Frank alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.