Kenneth Wilson
From Wikipedia
Kenneth Geddes Wilson (amezaliwa 8 Juni, 1936) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alijitahidi kueleza nadharia ya fizikia kwa jumla. Mwaka wa 1982 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.