Korea Kusini
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: 널리 인간을 이롭게 하라 "Lete faida kwa watu wote" | |||||
Wimbo wa taifa: Aegukga (Wimbo la Taifa) |
|||||
Mji mkuu | Seoul |
||||
Mji mkubwa nchini | Seoul | ||||
Lugha rasmi | Kikorea | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Roh Moo-hyun Han Myung-sook |
||||
Kuundwa kwa Ufalme wa Gojoseon Tangazo la uhuru bado chini ya Japani Ukombozi kutoka utawala wa Japani Jamhuri ya kwanza ilitambuliwa na Umoja wa Mataifa |
3 Oktoba 2333 KKa 1 Machi 1919 15 Agosti 1945 15 Agosti1948 12 Desemba 1948 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
99,646 km² (ya 108) 0.3 |
||||
Idadi ya watu - Julay 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
48,846,823 (ya 25) 480/km² (ya 19) |
||||
Fedha | Won ya Korea Kusini (KRW ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
Wakati sanifu wa Korea (UTC+9) -- (UTC+9) |
||||
Intaneti TLD | .kr | ||||
Kodi ya simu | +82 |
Korea ya Kusini (rasmi: Jamhuri ya Korea) ni nchi ya Asia ya Mashariki iliyopo katika kusini ya rasi ya Korea. Upande wa kaskazini imepakana na Korea ya Kaskazini. Korea zote mbili zilikuwa nchi moja hadi 1945 chini ya utawala wa kikoloni ya Japani. Ng'ambo ya bahari iko Uchina upande wa magharibi na Japani upande wa kusini-mashariki.
Mji mkuu pia mji mkubwa ni Seoul ambako karibu nusu ya wakazi wote huishi ama mjini au katika mazingira yake.
[edit] Viungo vya Nje
- Champions of (Tae Kwon Do) the national sport of Korea
- Discover Korea and its cuisine
- Information about Working and Living in South Korea
- South Korean Military Pictures DefenceTalk
- BBC News - Country Profile: South Korea
- Encyclopaedia Britannica, South Korea - Country Page
- CIA World Factbook - South Korea
- Guardian Unlimited - Special Report: North and South Korea
- Korea.net: Gateway to Korea portal from the KOIS government agency
- Korea National Statistical Office
- Korea Peace Network summary of past/current American policy towards Korea
- Library of Congress - Country Study: South Korea data as of Juni 1990
- National Assembly official site
- Open Directory Project - South Korea directory category
- The Blue House official Raisial site
- Tour2Korea operated by Korea National Tourism Organization
- Template:Wikitravel
- Yahoo! - South Korea directory category
- Yahoo! News - Full Coverage: South Korea
- Galbijim Wiki for expats in Korea
- South Korea main cities satellite views and latitude and longitude coordinates