Leo Sowerby
From Wikipedia
Leo Sowerby (1 Mei, 1895 – 7 Julai, 1968) alikuwa mtungaji muziki, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki kutoka nchi ya Marekani. Alifundisha na kupiga kinanda hasa katika mji wa Chicago. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya muziki kwa utungaji wake wa “Wimbo ya Jua” (kwa Kiingereza Canticle of the Sun).