Nil Sorsky
From Wikipedia
Nil Sorsky (takriban 1433 – 1508) alikuwa mchaji kutoka nchi ya Urusi. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nikolay Maykov. Aliandika vitabu vya kiroho. Ametambuliwa kuwa mtakatifu ndani ya Kanisa la Kiorthodox, hasa kule Urusi. Sikukuu yake ni 7 Mei.