Ramallah
From Wikipedia
Ramallah (kar. رام اﷲ) ni mji wa Palestina katika eneo la magharibi ya Yordani. Idadi ya wakazi ni mnamo 57,000. Mji uko km 10 kaskazini ya Yerusalemu.
Mjini kuna maofisi za serikali ya mamlaka ya Palestina pamoja na moja kati ya ikulu mbili za Rais.
Makala hiyo kuhusu "Ramallah" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ramallah kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |