Robert Millikan
From Wikipedia
Robert Andrews Millikan (22 Machi, 1868 – 19 Desemba, 1953) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alijishughulikia na vipimo vya umeme wa elementi. Mwaka wa 1923 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.