Robert Schrieffer
From Wikipedia
John Robert Schrieffer (amezaliwa 31 Mei, 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1972, pamoja na John Bardeen na Leon Cooper alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.