Saint Vincent na Grenadini
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Pax et justitia (Kilatini: Amani na haki) |
|||||
Wimbo wa taifa: St Vincent Land So Beautiful | |||||
Mji mkuu | Kingstown |
||||
Mji mkubwa nchini | Kingstown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Demokrasia Nchi ya Jumuiya ya Madola Elizabeth II wa Uingereza Sir Frederick Ballantyne Ralph Gonsalves |
||||
Uhuru tarehe |
27 Octoba 1979 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
389 km² (ya 201) Kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - [[2005]] kadirio - Msongamano wa watu |
119,000 (ya 190) 307/km² (ya 39) |
||||
Fedha | East Caribbean dollar (XCD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .vc | ||||
Kodi ya simu | +1-784 |
Saint Vincent na Grenadini ni nchi ya visiwani ya Antili Ndogo katika Karibi. Iko kaskazini ya Grenada na Trinidad na Tobago.
Saint Vincent ni kisiwa kikubwa na Grenadini ni kundi la visiwa vidogo. Mji mkuu wa Kingstown iko St. Vincent.