Salvatore Quasimodo
From Wikipedia
Salvatore Quasimodo (20 Agosti, 1901 – 14 Juni, 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika mashairi. Pia alitafsiri tamthiliya na mashairi katika Kiitalia kutoka lugha nyingine. Mwaka wa 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.