Selma Lagerlof
From Wikipedia
Selma Lagerlöf (20 Novemba, 1858 – 16 Machi, 1940) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Sweden. Aliandika hasa riwaya. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi akiwa mwanamke wa kwanza kupokea tuzo hiyo.