William Butler Yeats
From Wikipedia
William Butler Yeats (13 Juni, 1865 – 28 Januari, 1939) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ireland; kaka yake mdogo ni Jack Butler Yeats. Hasa aliandika juu ya mizizi ya utamaduni wa nchi yake. Mwaka wa 1923 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.