William Shockley
From Wikipedia
William Bradford Shockley (13 Februari, 1910 – 12 Agosti, 1989) alikuwa mhandisi na mwalimu kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na John Bardeen na Walter Brattain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.