Aleksander Prokhorov
From Wikipedia
Aleksander Mikhailovich Prokhorov (11 Julai, 1916 – 8 Januari, 2002) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Nikolai Basov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.