Charles Townes
From Wikipedia
Charles Hard Townes (amezaliwa 28 Julai, 1915) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Nikolai Basov na Aleksander Prokhorov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.