Asmara
From Wikipedia
Asmara ni mji mkuu na makazi makubwa nchini Eritrea, watu 579,000 waishi mji huu. viwanda via nguo na nguo ya kuvaa, uchinji wa nyama, pombe, viatu, na seramiki ni moja wapo ya vifaa vinavio toka mji wa Asmara. Asmara yenyewe kwa kijiografia iko 15°20' kaskazini, 38°55' mashariki (15.333, 38.91667). Pia mji huu uliitwa Asmera.
Contents |
[edit] Historia
Asmara ilianza kutoka vijiji vinne karne ya kumi na mbili kama Eneo ya biashara na baadaye kama mji wa Ras Alula. Ilitawalwa kwa ukoloni na Waitaliano mwaka wa 1889 na kuwa Mji Mkuu 1897. Mika ya juu 1930 Waitaliano waligeuza mji kwa mijengo mipia, bumani mpia na jenzi mpia; Asmara iliitwa na Waitaliano "Piccola Roma" ama (Roma kidogo). Siku hizi mijengo kuu Asmara ni ya Kiitaliano, na maduka bado yanajina za kiitaliano mfano - ("Bar Vittoria", "Pasticceria moderna", "Casa del formaggio", "Ferramenta").
Siku ya vita vya uhuru wa Eritrean kutoka Ethiopia, Uwanja wa ndege wa Asmara ulikuwa mhimu sana, Waithiopia walitumia uwanja huo kupata silaha kutoka ng'ambo. Mji wa mwisho kuanguka kwa Jeshi ya ukombozi wa Eritrea kwa vita via kukomboa Eritrea, Ilitekwa mwaka wa 1990 na kusalimishwa na Jeshi ya Ethiopian bila vita manamo Mai 24, 1991.
[edit] Hulka
Mji wenyewe una (Miziumu) kumbusho na inajulikana kwa ukumbusho wa jenzi za karne ya ishirini, pia sanaa ya Deco sinema Impero, Kubisti Pensheni Afrika, Kathidral ya wamininana pia Nyumba ya Opera, ujenzi wa umbele mjengo wa Fiat Tagliero, mjengo wa neo-Romanesque [[Kanisa ya katoliki ya roma Asmara|kathidral ya katoliki] na ujenzi wa kupendeza.
Asmara pia ni nyumbani kwa Chuo kikuu cha Asmara na gome ya karne ya kumi na tisa. Kituo cha ndege, Uwanja wa Kimataifa wa Asmara, kimeungana pia na bandari ya Massawa kwa Reri ya Eritrea.
Asmara is also the see of the archbishop of the Eritrean Orthodox Church, which became autocephalous in 1993. The archbishop was elevated in 1998 to the rank of Patriarchate of Eritrea, at par with the Ethiopian Orthodox Tewahedo Church.
[edit] Uchambuzi
- Edward Denison, Guang Yu Ren, Naigzy Gebremedhin and Guang Yu Ren - Asmara: Africa's Secret Modernist City (2003) ISBN 1858942098 (Siri ya Afrika Mji wa kisasa)
[edit] Viungo via nnje
- History of Asmara (makala mazuri ya eritrea kwa interneti)
- HolmeInAfrica wawili wa VSO wajitoi waliishi mwaka mmoja Asmara, Eritrea