Bisau
From Wikipedia
Bisau ni mji mkuu wa nchi ya Guinea Bisau ikiwa na wakazi 190,000. Bisau ni mji mkubwa wa nchi na kitovu wa utawala, biashara na viwanda. Biasharanje inapita bandari ya Bisau hasa ni ubao, karanga, mafuta ya mawese na mpira.
Bissau iko kwa pwani ya Atlantiki kwenye delta ya mto Geba.
Mji ulianzishwa na Wareno mwaka 1687 kama boma, bandari na kituo cha biashara.