Fiji
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Rerevaka na Kalou ka Doka na Tui" "Umwogope Mungu na umheshimu malkia" |
|||||
Wimbo wa taifa: God Bless Fiji | |||||
Mji mkuu | Suva |
||||
Mji mkubwa nchini | Suva | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Kifij na Kihindustani (Hindi/Urdu) | ||||
Serikali | Jamhuri chini ya kamati ya kijeshi Ratu Josefa Iloilo Frank Bainimarama Ratu Ovini Bokini Elizabeth II wa Uingereza |
||||
Uhuru Tarehe |
10 Oktoba 1970 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
18,274 km² (ya 155) -- |
||||
Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
905,949 (ya 156) 46/km² (ya 148) |
||||
Fedha | Fijian dollar (FJD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+12) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .fj | ||||
Kodi ya simu | +679 |
Fiji (Kifiji: Matanitu ko Viti; Kihindustani: फ़िजी, فِجی) ni nchi ya visiwani ndogo ya Melanesia katika Pasifiki yenye visiwa 322 na wakazi 844,330. Fiji iko upande wa mashariki ya Vanuatu, magharibi ya Tonga na kusini ya Tuvalu.
Kati ya visiwa vingi kuna 106 vyenye wakazi. Visiwa vikuu ni Vanua Levu na Viti Levu wanapokaa asilimia 87 za wakazi wote. Mji mkuu ni Suva.
Lugha rasmi visiwani ni Kifiji, Kiingereza na Hindustani inayofanana na Kihindi na Kiurdu.
Tangu 2006 jeshi chini ya Commodore Frank Bainimarama ilitwaa madaraka ya serikali.
[edit] Jiografia
[edit] Geography
Fiji ni funguvisiwa iliyoko mbali na visiwa vigine vya Pasifiki. Iko takriban 2.100 km kaskazini ya Auckland (New Zealand). Visiwa vyake 330 vina eneo la ardhi kavu la 18.270 km².
Makala hiyo kuhusu "Fiji" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Fiji kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |