Tonga
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Ko e 'Otua mo Tonga ko hoku tofi'a ("Mungu na Tonga ni urithi wangu") |
|||||
Wimbo wa taifa: Ko e fasi 'o e tu'i 'o e 'Otu Tonga | |||||
Mji mkuu | Nuku'alofa |
||||
Mji mkubwa nchini | Nuku'alofa | ||||
Lugha rasmi | Kitonga, Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme George Tupou V Dr. Feleti Sevele |
||||
Ufalme Uhuru |
4 Juni 1970, kutoka nchi lindwa chini ya Uingereza |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
748 km² (ya 186) 4 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
102,000 (ya 194) 153/km² (ya 671) |
||||
Fedha | Pa'anga (TOP ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+13) (UTC+13) |
||||
Intaneti TLD | .to | ||||
Kodi ya simu | +676 |
||||
1 Takwimu za 2005. |
Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321. Eneo lake ni funguvisiwa yenye visiwa 169 upande wa kusini ya Fiji na Samoa na upande wa kaskazini ya New Zealand. Visiwa 26 vina wakazi.
[edit] Jiografia
Eneo lote la nchi kavu ya visiwa ni 750 km². Kisiwa kikubwa ni Tongatapu chenye eneo la 260 km². Mahali pa juu katika Tonga ni volkeno ya mlima wa Kao (ambacho ni kisiwa cha Kao chenyewe) mwenye kimo cha 1,030 m.
Makala hiyo kuhusu "Tonga" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Tonga kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |