Hermann Hesse
From Wikipedia
Hermann Hesse (2 Julai, 1877 – 9 Agosti, 1962) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alihamia Uswisi. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.