Uswisi
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kilatini: Unus pro omnibus, omnes pro uno (Kiswahili: "Mmoja kwa ajili ya wote - wote kwa ajili ya mmoja") |
|||||
Wimbo wa taifa: Zaburi ya Uswisi | |||||
Mji mkuu | Bern (mji mkuu wa shirikisho) |
||||
Mji mkubwa nchini | Zürich | ||||
Lugha rasmi | Kijerumani, Kifaransa, Kiitalia, Kirumanj[1] | ||||
Serikali
Halmashauri ya Shirikisho
kwa jumla ni Mkuu wa Dola Mwenyekiti wa mawaziri ana cheo cha "Rais" akibadilika kila mwaka |
Demokrasia, Shirikisho la Jamhuri Moritz Leuenberger (Rais wa Shirikisho mwaka 2006) Pascal Couchepin Samuel Schmid Micheline Calmy-Rey (VP 06) Christoph Blocher Hans-Rudolf Merz Doris Leuthard |
||||
Uhuru Imetangazwa Imekubaliwa Shirikisho la Jamhuri |
1. Agosti 1291 1648 1848 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
41,285 km² (ya 136) 4.2 |
||||
Idadi ya watu - July 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
7,252,000 (ya 95) 7,288,010 182/km² (ya 61) |
||||
Fedha | Swiss franc (CHF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .ch | ||||
Kodi ya simu | +41 |
Uswisi ni nchi ndogo ya Ulaya. Imepakana na Ujerumani, Ufaransa, Italia, Austria na Liechtenstein.
Jina rasmi ni Confoederatio Helvetica (Kilatini: Shirikisho la Kiswisi). Kuna lugha rasmi 4: Kijerumani, Kifaransa, Kiitalia na Kirumanj. Majimbo yake huitwa "kantoni" yanajitawala.
Mji mkuu wa shirikisho ni Bern. Mji mkubwa ni Zürich penye benki nyingi. Mji wa Geneva ni kati ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa ni pia makao makuu ya kimataifa ya Umoja wa shirika za Msalaba Mwekundu na mashirikia mengine ya kimataifa.
Uswisi imepata umaarufu hasa kutokana na sababu zifuatazo:
- ni nchi isiyoshiriki katika vita tangu zaidi ya miaka 300
- ni nchi ambapo watu wenye utamaduni tofauti sawa na nchi jirani wameshirikiana karne nyingi kwa amani
- ni nchi iliyotunza demokrasia tangu karne nyingi bila kuwa na vipindi vya udikteta au utawala wa mabavu, tena demokrasia ya moja kwa moja ambako wananchi wa kawaida wana haki ya kutunga au kubadilisha sheria kwa njia ya kura wa watu wote
- ni nchi yenye benki zenye sifa kote duniani
[edit] Viungo vya Nje
- English homepage of the Swiss Federal Authorities
- The Swiss Confederation: A Brief Guide 2006
- Switzerland information at Traveldir.org
- Pictures from Switzerland
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikani
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |