Kamboja
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: (Khmer: Taifa, Dini, Mfalme) |
|||||
Wimbo wa taifa: Nokoreach | |||||
Mji mkuu | Phnom Penh |
||||
Mji mkubwa nchini | Phnom Penh | ||||
Lugha rasmi | KiKhmer1 | ||||
Serikali
Mfalme
Waziri Mkuu |
Ufalme wa Kidemokrasia Norodom Sihamoni Hun Sen |
||||
Uhuru Kutangazwa Kutambuliwa |
Kutoka Ufaransa 1949 1953 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
181,035 km² (88th) 2.5% |
||||
Idadi ya watu - July 2005 kadirio - 1998 sensa - Msongamano wa watu |
14,071,000 (63rd) 11,437,656 78/km² (111th) |
||||
Fedha | ៛ Riel 2 (KHR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) |
||||
Intaneti TLD | .kh | ||||
Kodi ya simu | +855 |
||||
1 Kifaransa na Kiingereza hueleweka na wasomi tu. 2Lakini pesa za Marekani hutumiwa sana. |
Kamboja au Kampuchia ni nchi katika bara la Asia upande wa Kusini-Mashariki. Inapakana na nchi za Thailand, Laos na Vietnam.
Makala hiyo kuhusu "Kamboja" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kamboja kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |