Kathmandu
From Wikipedia
Kathmandu (Kinepali: काठमाडौं, काठमान्डु)ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Nepal mwenye wakzi milioni 1.5. Iko katika bonde la Kathmandu kando la mto Bagmati kwenye milima ya Himalaya kwa kimo cha mita 1,300. Miji ya Patan na Bhaktapur iko karibu. Mahali pake ni 27°43′N 85°22′E.
Mji una mahekalu mengi mazuri ya Uhindu na Ubuddha pamoja na ynumba za kihistoria. Bonde lote la Kathmandu liliingizwa na UNESCO katika orodha la urithi wa dunia.