Kingston
From Wikipedia
Kingston ni jina la miji mbalimbali duniani.
Contents |
[edit] Asili ya jina
Asili ya jina ni Kiingereza "King's Town" yaani "mji wa mfalme". Katika Uingereza kuanzishwa kwa mji ulihitaji kibali cha mfalme wa nchi. Hivyo tamko la "mji wa mfalme" likawa sehemu ya jina la mji mara kadhaa. Waingereza kutoka miji mbalimbali iliyoitwa "Kingston" walipeleka jina hili kote duniani walipoanzisha miji katika koloni zao au kutoa majina mapya kwa miji ya koloni.
[edit] Jamaika
[edit] Uingereza (Ufalme wa Maungano)
[edit] Uingereza
- Kingston upon Hull
- Kingston upon Thames karibu na London
- Kingston, Cambridgeshire
- Kingston, Devon
- Kingston, Dorset
- Kingston near Lewes - East Sussex
- Kingston, Hampshire
- Kingston, Portsmouth - Hampshire
- Kingston, Isle of Wight
- Kingston, Kent
- Kingston Bagpuize - Oxfordshire
- Kingston Blount - Oxfordshire
- Kingston by Ferring - West Sussex
- Kingston by Sea - West Sussex
- Kingston Deverill - Somerset
- Kingston Lisle - Oxfordshire
- Kingston on Soar - Nottinghamshire
[edit] Uskoti
- Kingston, East Lothian
- Kingston, Moray
- Kingston Bridge, Tradeston, Glasgow
[edit] Australia
- Kingston (kisiwa cha Norfolk makao makuu ya eneo
- Kingston SE - Australia Kusini
- Kingston-On-Murray - Australia Kusini
- Kingston (Tasmania)
- Kingston (Victoria)
[edit] Kanada
- Kingston (New Brunswick)
- Kingston (Nova Scotia)
- Kingston (Ontario)
[edit] New Zealand
- Kingston (New Zealand) - mji mdogo kwenye kisiwa cha kusini
[edit] Marekani
- Kingston (Georgia)
- Kingston (Massachusetts)
- Kingston (Michigan)
- Kingston (New Hampshire)
- Kingston (New Jersey)
- Kingston (New York)
- Kingston (Ohio)
- Kingston (Oklahoma)
- Kingston (Pennsylvania)
- Kingston (Rhode Island)
- Kingston (Tennessee)
- Kingston (Utah)
- Kingston (Washington)