London
From Wikipedia
London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.
London ni mahali muhimu kwa biashara na benki kimataifa. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea ndege nyingi kushinda mahali popote duniani.
Mji umepambwa na majengo mazuri kama makumbusho, makanisa na majumba yanayovuta watalii wengi kila mwaka.
[edit] Viungo vya Nje
Makala hiyo kuhusu "London" ni fupi mno. Inahitaji kupanushwa karibuni. |
Makala hiyo kuhusu "London" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu London kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |