Kinyamwanga
From Wikipedia
Kinyamwanga (pia huitwa Kimwanga au Kinamwanga) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwanga. Pia iko Zambia.
[edit] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=mwn
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kinyamwanga)
[edit] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Busse, Joseph. 1940/41. Lautlehre des Inamwanga. Zeitschrift für Eingeborenen-Sprachen, 31 (1), uk.21-50.
- Bickmore, Lee. 2000. Downstep and fusion in Namwanga. Phonology, 17 (3).