Zambia
From Wikipedia
|
Jamhuri ya Zambia ni nchi ya Afrika Kusini isiyo na mwambao wa bahari. Imepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania upande wa kaskazini, Malawi upande wa mashariki, Msumbiji, Zimbabwe na Botswana upande wa kusini, Namibia na Angola upande wa magharibi.
Jina limetokana na mto wa Zambezi. Jina la zamani lilikuwa "Northern Rhodesia".
Nchi kwa sehemu kubwa ni nyanda za juu kati ya 1.000 hadi 1.400 m juu ya UB. Milima ya Muchinga imepanda hadi 2.164 m, kelele ya juu kabisa iko kwa 2.301 m UB huko milima ya Mafinga Hills.
Wakazi wa Zambia ni wasemaji wa lugha za Kibantu katika makabila 72. Vikundi vikubwa ndio Wabemba, Wanyanja-Wachewa, Watonga, Walunda, Waluvale, Wakaonde na Walozi. Idadi kubwa ni wakulima wa kujitegemea.
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |
Makala hiyo kuhusu "Zambia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Zambia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |