Kosta Rika
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: ¡Vivan siempre el trabajo y la paz! | |||||
Wimbo wa taifa: Noble patria, tu hermosa bandera | |||||
Mji mkuu | San Jose |
||||
Mji mkubwa nchini | San Jose | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri, demokrasia Óscar Arias |
||||
Uhuru Tarehe |
15 Septemba 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
51,100 km² (ya 129) 0.7% |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
4,327,000 (ya 119) 85/km² (ya 107) |
||||
Fedha | colón (CRC ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .cr | ||||
Kodi ya simu | +506 |
Kosta Rika (Costa Rica) ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Nikaragua na Panama; kuna pwani la Pasifiki upande wa magharibi na pwani la Bahari ya Karibi upande wa mashariki.
Kosta Rika ilikuwa nchi ya kwanza duniani ya kufuta jeshi lake kikatiba.