Amerika ya Kati
From Wikipedia
Amerika ya Kati ni sehemu ya Amerika kusini ya Marekani na kaskazini ya Kolombia.
- Kijiografia katika hesabu ya kawaida ya bara 7 ni sehemu ya Amerika ya Kaskazini.
- Kihistoria na kiutamaduni ni pekee.
- Kijiolojia iko kwenye bamba la Karibi ambalo ni bamba la gandunia la pekee na mabamba ya Amerika Kaskazini na Amerika Kusini.
Inajumisha nchi za shingo la nchi kati ya Marekani na Kolombia pamoja na visiwa vya Karibi. Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:
- Meksiko si sehemu ya shingo la nchi lakini kwa sababu za kihistoria na kiutamaduni mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati
Pia kuna nchi katika bahari ya Karibi ambazo ni visiwa:
- Antigua na Barbuda
- Bahamas
- Barbados
- Dominica
- Jamhuri ya Dominika
- Grenada
- Haiti
- Jamaika
- Kuba
- Saint Kitts na Nevis
- Saint Lucia
- Saint Vincent na Grenadini