Kyela
From Wikipedia
Wilaya ya Kyela ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 174,470 [1].
Makala hiyo kuhusu "Kyela" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kyela kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |