Lamu
From Wikipedia
Lamu ni neno la kutaja mahali pafuatapo katika Kenya:
- Lamu (mji) - ni kati ya miji ya kale sana ya Waswahili kwenye pwani la Afrika ya Mashariki, iko kwenye orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia" (World Heritage)
- Lamu (kisiwa) ni kisiwa penye mji wa Lamu
- Lamu (funguvisiwa) ni funguvisiwa yenye visiwa vya Lamu, Pate, Manda,Kimayu na vingine.
- Lamu (wilaya) ni wilaya ya kiutawala wa Jamhuri ya Kenya inayounganisha funguvisiwa pamoja na sehemu za bara jirani nayo.