Mbarali
From Wikipedia
Wilaya ya Mbarali ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 234,908 [1].
Makala hiyo kuhusu "Mbarali" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mbarali kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |