Mexiko
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: (hakuna) | |||||
Wimbo wa taifa: Himno Nacional Mexicano | |||||
Mji mkuu | Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico) |
||||
Mji mkubwa nchini | Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico) | ||||
Lugha rasmi | (hakuna kitaifa) Kihispania (hali halisi) |
||||
Serikali
Rais
|
Shirikisho la Jamhuri Felipe Calderón |
||||
Uhuru Imetangazwa imetambuliwa |
16 Septemba 1810 27 Septemba 1821 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,972,550 km² (ya 15) 2.5% |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
107,029,000 (ya 11) 101,879,171 55/km² (ya 142) |
||||
Fedha | Peso (MXN ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-8 to -6) varies (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .mx | ||||
Kodi ya simu | +52 |
Mexiko ni nchi kubwa ya Amerika ya Kaskazini. Imepakana na Marekani upande wa kaskazini. Upande wa kusini majirani ni Guatemala na Belize. Ina pwani ndefu na bahari za Pasifiki na Atlantiki. Mji mkuu ni Mexico City.
Wakazi wengi hutumia lugha ya Kihispania. Wengine wanaendelea kutumia lugha asilia tangu kabla ya ukoloni kama vile Nahuatl, Maya na Zapoteki.
Makala hiyo kuhusu "Mexiko" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mexiko kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |