Philipp Lenard
From Wikipedia
Philipp Eduard Anton Lenard (7 Juni, 1862 – 20 Mei, 1947) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Alitayarisha misingi ya nadharia za elektroni. Pia aliipinga nadharia ya Albert Einstein (Relativity Theory). Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.