Sayansi
From Wikipedia
Sayansi ni harakati ya kupata ujuzi mpya kwa njia ya kisayansi, na pia ni ujuzi uliopatwa kwa njia hii. Asili ya njia ya kisayansi ni mtazamo. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba nadharia. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika.
Mara chache, ujuzi uliopatwa na sayansi inaweza kuwa dhidi ya anga ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya atomi inasema kwamba katika jiwe kuna uvungu, na kwamba atomi zinaenda kwa mwendo mkubwa katika jiwe. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaamini kwamba jiwe halina uvungu.
Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika:
Sayansi Asili k.m.
Sayansi Umbile k.m.
Sayansi Jamii k.m.
- Arkiolojia
- Elimu
- Saikolojia
- Siasa
Sayansi Tumizi k.m.
Pia, kuna sayansi zinahusu mada mbalimbali:
Makala hiyo kuhusu "Sayansi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Sayansi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |