Tiba
From Wikipedia
Tiba (au: Uganga) ni elimu kuhusu magonjwa ya watu mwilini na rohoni, jinsi ya kuzuia magonjwa na kuhusu njia ya kurudisha uzima. Elimu hii inafuata mbinu za kisayansi tofauti na uganga wa kienyeji au wa kimila.
Watu wanaoshughulika magonjwa wa watu huitwa tabibu au waganga. Mara nyingi watu huwaita "daktari" lakini neno hili lamaanisha zaidi cheo cha kufaulu chuo kikuu kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari ya tiba.
Watu wanaofanya kazi pamoja na tabibu ni muuguzi (nesi) na wasaidizi wengine.
Tiba imeendelea kiasi cha kuwa na masomo yake madogo yanayoangalia hasa magonjwa ya sehemu fulani ya mwili tu. Kila somo ndogo lina wataalamu wake kwa mfano tiba ya moyo, ya ngozi, ya viungo vya ndani, ya upasuaji, ya wagonjwa wa watoto na kadhalika.
TIBA NYINGINE: Lamsingi kujuwa ni: Kama wewe ni mgonjwa, na ukienda kwa daktari kupimwa, daktari atakubangiya dawa za kutumiya. Katika dawa zile tambuwa kuwa: Niimani yako kubwa ndiyo itasaidiya dawa zile zikuponyeshe, bila kua na imani kubwa ya kuamini dawa ulopewa, dawa ile ahiwezi kukufaa.
Dawa yako kubwa ni kumwamini Mungu kuwa yeye anaweza kuponyesha kila ugonja, mawazo na imani yako ulonayo, kama unaimani kubwa unaweza kupona kwa saa yoyote. Kuusu tiba ambayo ilosemwa awali na mwandishi wetu. Nikweli kuna magonjwa mengi sana Duniani, na katika magonjwa ayo kuna magonjwa fula ambayo yana tiba yake, na mengine magonjwa bago ayajapata tiba. Wanasayansi wanajitahidi sana kwa mbinu kubwa ili waweze kupata tiba ya magonjwa ambayo ayana dawa.
Kuusu tiba ya ugonjwa fulani ambaho mwanadamu anaweza kuwa nao:Tunavyo jua nikua: Dawa kubwa ya mtu ni mtu mwengine. Tukimaanisha kuwa, kama unajiona wewe nimdonjwa! Lamsingi wewe kufanya ni kumuona daktari bado ingali mapema. Lapili ni wewe kujitaidi kuuliza kwa wengine nini chakufanya.
NUSU YA MAKALA HII APO JUU IMEANDIKWA NA RAMAZANI-KIUMBE, NORWAY. 07.02.2007
Makala hiyo kuhusu "Tiba" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Tiba kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |