Shinichiro Tomonaga
From Wikipedia
Shinichiro Tomonaga (31 Machi, 1906 – 8 Julai, 1979) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza nguvu za umeme na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1965, pamoja na Richard Feynman na Julian Schwinger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.