Wellington
From Wikipedia
|
|
---|---|
Mji wa Wellington (New Zealand) |
|
|
|
Mkoa | Greater Wellington |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 41°17′20″S - Longitudo: 174°46′38″E |
Kimo | 12 m juu ya UB |
Eneo | hektari 29 (mji pekee) hektari 813 (rundiko la mji) |
Wakazi | 179,466 (mji pekee) 448,959 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 290 (mji pekee) kwa km² watu 444 (yote) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 4 (mji) |
Mahali | |
Wellington ni mji mkuu wa New Zealand mwenye wakazi 350,000 (2005). Iko upande wa kusini wa kisiwa cha kaskazini ikitazama milima ya kisiwa cha kusini. Imekuwa mji mkuu tangu 1865 ilipochukua nafasi ya Auckland.