New Zealand
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: God Defend New Zealand (Mungu atetee New Zealand) God Save The Queen |
|||||
Mji mkuu | Wellington |
||||
Mji mkubwa nchini | Auckland | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza Kimaori |
||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Anand Satyanand Helen Clark |
||||
Uhuru Dominion (kujitawala) |
26 Septemba 1907 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
268,680 km² (ya 75) 2.1 |
||||
Idadi ya watu - Desemba 2006 kadirio - 2006 sensa - Msongamano wa watu |
4,165,600 (ya 124) 4,143,279 15/km² (ya 193) |
||||
Fedha | New Zealand dollar (NZD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
NZSTTemplate:Smallsup (UTC+12) NZDT (UTC+13) |
||||
Intaneti TLD | .nzTemplate:Smallsup | ||||
Kodi ya simu | +64 |
New Zealand (Kiing. kwa "nchi mpya baharini"; pia Nyuzilandi; Kimaori: Aotearoa) ni nchi ya visiwani katika Pasifiki takriban 1,600 km upande wa mashariki-kusini ya Australia. Eneo lake ni visiwa viwili vikubwa na vingine vidogo.
Wellington ni mji mkuu wa New Zealand. Auckland ni mji mkubwa visiwani.
Lugha rasmi ni Kiingereza, Kimaori na lugha ya mikono ya viziwi.
Template:Pasifiki