Heinrich Rohrer
From Wikipedia
Heinrich Rohrer (amezaliwa 6 Juni, 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza na kubuni hasa aina fulani ya hadubini. Mwaka wa 1986, pamoja na Ernst Ruska na Gerd Binnig alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.